Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wajumbe wa Chama cha Wafanyabiashara cha Polland jijini Warsaw akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo Oktoba 24, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Wajumbe wa Chama cha Wafanyabiashara cha Polland jijini Warsaw akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo Oktoba 24, 2014. Wengine Pichani kutoka kushoto ni Makamu wa Rais na Mkurugenzi Mkuu wa Chama cha Wafanyabiashara cha Polland, Bw. Marek Kloczko,Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Polland, (Under Secretary Of State Ministry of Foreign Affairs), Bibi Katarzyna Kacperczyk na Bwana Jerzy Pietrewiez ambaye ni Katibu Mkuu Wizara ya Uchumi ya Polland (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment