![]() |
| polisi wakipambana na Halima mdee kumuingiza kwenye gari la polisi leo |
| wakina mama wa chadema wakimueleza polisi madai yao wakiwa nje ya kituo cha polisi cha osterbay wakidai kwenda kwa wanahusika kunto Nwenyekiti wao Halima Mndee |
| wafuasi wa chadema wakilalamika kwa polisi |
| wafuasi wa chadema wakimzozea polisi wakitaka kumuona mkuu wa kituo cha polisi cha osterbay |
| Halima mdee akiwa katika gari la polisi |
![]() |
| Halima mdee akizozana na polisi mara baada ya kuingizwa kwenyegari |
![]() |
| halima na wafuasi wengine wakiwa katika gari la polisi wakipelekwa polisi |
| Halima mdee akiwa katika gari la polisi |
![]() |
| Halima Mdee akiwa ndani ya gari la polisi akipelekwa katika kituo cha polisi cha osterbay |
| Mfuasi wa chadema bawacha akishikiliwa na polkisi akipelekwa katika gari |
| kituo cha polisi cha osterbay kilikuwa chini ya ulinzi hakuna mtu kuingia leo |
| polisi wa osterbay wakizuia gari kupitia |
| wakina mama wa chadema wakifika katika eneo la polisi osterbay |
| viongozi wa chadema wakiomba kuruhusiwa kupita polisi ya osterbay |
| wafuasi chadema na polisi |




No comments:
Post a Comment