Hapa ndio utaamini kuwa maisha yaanzia mbali sana,tizama picha hii kwa umakini sana japo muonekano wake ni hafifu ila mtu wa kwanza mkono wa kushoto ni waziri mkuu wa Tanzania Mh MIZENGO PINDA akiwa na vijana wenzake enzi hizo ambao nao ni vionozi mbalimbali ndani ya nchi kwa sasa,akiwa amevalia sare za chama cha mapinduzi hii inaonyesha kuwa ameanza kukitumikia chama hicho miaka mingi sana na ndio maana amekuwa akipata nafasi mbalimbali za uongozi serikalini,ikumbukwe kuwa mh PINDA ametangaza nia yake ya kuwania urais wa Tanzania mwaka kesho |
No comments:
Post a Comment