Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akijumuika na baadhi ya viongozi wa CCM Wilaya ya Ilala kuimba wimbo maalum wa Chama wakati Dkt. Bilal, alipokuwa akifunga rasmi Mkutano mkuu wa CCM wa Wilaya hiyo jana Oktoba 19, 2014 kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam. |
No comments:
Post a Comment