Mkuu wa Wilaya ya Longido Mheshimiwa James Ole Millya (wa pili kushoto) akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa huduma mpya ya kasi ya 3G katika mnara wa Tigo mpakani Namanga, mkoani Arusha. Kulia kwake ni Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Kaskazini David Charles na Mwenyekiti wa Kijiji cha Namanga Mheshimiwa William Kikois (kushoto).
Monday, October 13, 2014
TIGO YAZINDUA MNARA WA KASI YENYE 3G NAMANGA, WILAYANI LONGIDO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment