
Wazungumzaji wakuu kutoka kulia ni Prof Safari-Makamu Mwenyekiti CHADEMA Taifa, Salim Mwalimu-Naibu katibu mkuu CHADEMA-Zanzibar(Kulia) na Dr Wilbroad Slaa-Katibu mkuu CHADEMA Taifa (Katikati), Mch Peter Msigwa-Mbunge wa Jimbo la Iringa mjini na Patrick Ole Sosopi-Makamu Mwenyekiti BAVICHA.

Hawa ni wananchi wa manispaa ya Iringa waliojitokeza kwenye mkutano huo

Picha na Mathias Canal (P.T)

No comments:
Post a Comment