Wasanii wa kikundi cha Original Komedi kikiwapa burudani wakazi wa mkoa wa Arusha waliofurika kwenye uwanja wa Sheikh Amri Adeid mwishoni mwa wiki kushuhudia tamasha la Tigo welcome pack, Kampuni ya Tigo imeanzisha kifurushi cha welcome pack kitakachomwezesha mtumiaji wa Tigo kupata muda wa maongezi wa dakika 20, mb175,sms bila kikomo na pesa shilingi mia 500 kwenye akaunti yake ya tigopesa, yote hayo kwa shilingi 1000 mteja atakaponunua laini yake ya Tigo.
|
No comments:
Post a Comment