SERIKALI IPO NJE YA NCHI,RAIS KIKWETE VIETNAM MH PINDA OMAN ZIARANI
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Naibu Waziri Mkuu wa Oman, Mheshimiwa Sayyid Fahad Mahmoud Al Said baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa wa Kimataifa wa Muscat wa Royal Airport kwa ziara ya siku mbili ya kikazi nchini humo
No comments:
Post a Comment