Monday, November 24, 2014

HII NI ZAIDI YA BURUDANI YA TAMASHA LA TIGO WELCOME PACK WILAYANI KAHAMA MWISHONI MWA WIKI

Msanii wa vichekesho Masanja akitumbuiza kwenye uwanja wa Taifa Wilayani Kahama,wakati wa tamasha la Tigo Welcome Pack




Msanii wa vichekesho Lucas Mhavile a.k.a Joti akitumbuiza kwenye uwanja wa Taifa Wilayani Kahama,wakati wa tamasha la Tigo Welcome Pack.



Msanii wa Bongo freva Mwana FA akitumbuiza kwenye uwanja wa Taifa Wilayani Kahama,wakati wa tamasha la Tigo Welcome Pack

Msanii wa vichekesho mpoki akitumbuiza kwenye uwanja wa Taifa Wilayani Kahama,wakati wa tamasha la Tigo Welcome Pack

Msanii kutoka Kahama akiwasha sigara kwa miguu,kwenye uwanja wa Taifa Wilayani Kahama,wakati wa tamasha la Tigo Welcome Pack


Wasanii kutoka Shinyanga stand wakitumbuiza kwenye uwanja wa Taifa Wilayani Kahama,wakati wa tamasha la Tigo Welcome Pack


No comments: