Sunday, November 2, 2014

TIZAMA PICHA ZA WARIOBA AKIOKOLEWA JANA KWENYE VURUGU UBUNGO



Pichani ni Mzee Warioba akitolewa nje baada ya vurugu zilizojitokeza katika Mdahalo wa "Mchakato wa Katiba Mpya, Maoni ya Wananchi na Katiba Inayopendekezwa" yaliyofanyika mapema jana hii Ubungo Plaza. 


No comments: