Mfanyakazi wa uwanja wa Ndege wa Bukoba Bi Leiner Rogatus akifurahi mara baada ya kununua simu Huawei 330 kwa sh 130,000 Nje ya uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba ambao kampuni ya simu za Mkononi ya Tigo ilikuwa ikitambulisha huduma zake mbalimbali kwenye kampeni ya Tigo welcome pack mwishoni mwa wiki
Monday, November 10, 2014
ZIARA YA TIGO WELCOME PACK YATIKISA MKOANI KAGERA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment