OFisa Habari na Masoko wa Fastjet, Lucy Mbogoro, (kulia), akizungumza na Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dr.Shaaban Mwinjaka katika maadhimisho ya miaka 70 ya Kimataifa ya safari za Anga Duniani yaliyoanza jana mpaka Desemba 5 mwaka huu katika Viwanja vya Makao Makuu ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCCA) Dar es Salaam, kutoka kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya TCCA, na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka hiyo Charles Chacha.
No comments:
Post a Comment