Makamu
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, Profesa
Safari Abdalla akisalimiana na Makamu wa Rais wa Bunge la Ulaya (EP)
Rainer Wieland wakati ujumbe wa CHADEMA ulioko nchini Ubelgiji,
ulipofika ofisi za bunge hilo mjini Brussels kwa ajili ya ziara ya
kikazi. Wengine kutoka kulia ni Mwenyekiti wa BAVICHA, Patrobas Katambi,
Naibu Katibu Mkuu Zanzibar, Salum Mwalimu, Katibu Mkuu wa BAWACHA,
Grace Tendega na Mkurugenzi wa Bunge na Halmashauri John Mrema. |
No comments:
Post a Comment