Monday, December 1, 2014

HIVI NDIVYO TIGO WELCOME PACK ILIOVYOWAPAGAWISHA WAKAZI WA KIGOMA

Msanii wa kundi la Origional Comedy Emanuel Mgaya (Masanja) akiburudisha kwenye tamasha la Tigo welcome pack lililofanyika kwenye uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma.
Msanii wa Bongo Flava Sunday Mjeda (Linex) akitumbuiza kwenye tamasha la Tigo welcome pack lililofanyika uwanja wa lake Tanganyika mjini Kigoma.
Msanii Alex Chalamila maarufu kama MCRegan akiburudisha katika tamasha la kuhamasisha matumizi ya mtandao wa simu ya mkononi ya Tigo lililofanyika kwenye uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma.
Msanii nguli wa hiphop nchini Joseph Haule a.k.a Prof J akitumbuiza kwenye tamasha la Tigo welcome pack huku akisindikizwa na wasanii wa kundi la Origional Comedy kwenye uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma.
Baadhi ya wananchi wa manispaa ya kigoma ujiji wakipata huduma kuhusiana na bidhaa na huduma mbalimbali za mtandao wa simu ya mkononi ya tigo  kutoka kwenye vibanda mbalimbali vya kutoa huduma katika uwanja wa Lake Tanganyika wakati wa tamasha la Tigo welcome pack  lililofanyika mjini Kigoma.

No comments: