| Msanii Joseph Haule a.k.a Prof J akitoa shoo pamoja na kundi la Origino Komedi wakifanya yao kwenye tamasha la Tigo welcome pack, uwanja wa Nangwanda Mkoani Mtwara mwishoni mwa wiki. |
| Msanii Ibrahim Musa a.k.a Roma Mkatoliki akitoa burudani kwenye tamasha la Tigo welcome pack lililofanyika uwanja wa Nangwanda Mkoani Mtwara mwishoni mwa wiki. |
| Masanja Mkandamizaji akifanya vitu vyake jukwaani. |
| Wasanii wa kundi la Origino Komedi wakionesha shoo wakati wa tamasha la Tigo welcome Pack lililofanyika uwanja wa Nangwanda Mkoani Mtwara mwishoni mwa wiki. |
No comments:
Post a Comment