Mkuu
wa Huduma Kwa Wateja wa Tigo Mkoani Arusha Bi. Lidya Sakaya akikabidhi
msaada kwa mgonjwa Bi. Felister Paul ikiwa ni sehemu ya msaada
uliyotolewa na Kampuni ya Tigo siku ya Wapendanao (Valentine Day) kwenye
Hospitali ya Tengeru Mkoani Arusha mwishoni mwa wiki.
Monday, February 16, 2015
Kampuni ya Tigo Yatoa Msaada Hospitali ya Tengeru Mkoani Arusha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment