Monday, February 23, 2015

PICHA YA SIKU ITIZAME HII

Mbunge wa mvomero, Mh. Amos Makalla akitumia bodaboda kufanya ziara jimboni kwake. picha hii imeenea katika mitandao huku wengine wakisema ni  uzalendo huku wengine wakisema ni maigizo tu.hebu tupe maoni yako mtanzania

No comments: