Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete(wa pili kutoka kulia) na mgeni wake Rais wa Shirikisho la Ujerumani, Joachim Gauck (wa tatu kutoka kulia) wakifurahia wakati wa dhifa ya kitaifa ya chakula cha usiku aliyomwandalia kiongozi huyo jana usiku, Ikulu jijini Dar es salaam. Kushoto ni Mke wa Rais wa Tanzania, mama Salma Kikwete na Mke wa Rais wa Ujerumani Bi. Daniella Schadt.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete(wa pili kutoka kulia) akiwa na mgeni wake Rais wa Shirikisho la Ujerumani, Joachim Gauck (wa tatu kutoka kulia) wakiwa wamesimama wakati wimbo taifa wa Tanzania na ujerumani ulipopigwa wakati wa dhifa ya kitaifa ya chakula cha usiku aliyomwandalia kiongozi huyo jana usiku, Ikulu jijini Dar es salaam. Kushoto ni Mke wa Rais wa Tanzania, mama Salma Kikwete na Mke wa Rais wa Ujerumani Bi. Daniella Schadt.Baadhi ya viongozi mbalimbali wa Serikali waliohudhuria dhifa hiyo jana usiku, Ikulu jijini Dar es salaam.Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Askofu Gehazi Malasusa (wa pili kutoka kushoto) na viongozi wengine wa Serikali wakiwa kwenye dhifa ya kitaifa ya chakula cha usiku aliyoandaliwa Rais wa Ujerumani Joachim Schadt na Rais Jakaya Kikwete jana usiku jijini Dar es salaam.Rais wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete na mgeni wake Rais wa Shirikisho la Ujerumani Mh. Joachim Gauck wakielekea sehemu ya nyuma ya ukumbi kutazama Brass bendi ya Jeshi la Polisi iliyokuwa ikitoa burudani wakati wa dhifa ya kitaifa ya chakula cha usiku aliyomuandalia mgeni wake jana usiku Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais wa Shirikisho la Ujerumani Mh. Joachim Gauck akitoa ujumbe wake kwa wageni mbalimbali waliohudhuria dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa na Rais Jakaya Kikwete Ikulu.Rais wa Ujerumani Mh. Joachim Gauck na Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania wakitazama vikundi mbalimbali vya ngoma za asili vilivyokuwa vikitumbuiza wakati wa dhifa ya kitaifa Ikulu jijini Dar es salaam.Rais wa Shirikisho la Ujerumani Mh. Joachim Gauck (wa pili kutoka kulia) akiteta jambo na Rais mstaafu wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi jana usiku wakati wa dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa na Rais Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam. Kushoto ni mke wa Rais wa Ujerumani Bi. Daniella Schadt na mama Sitti Mwinyi Mwinyi.
Rais wa Shirikisho la Ujerumani Mh. Joachim Gauck (wa pili kutoka kulia) akiteta jambo na Rais mstaafu wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi jana usiku wakati wa dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa na Rais Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam. Kushoto ni mke wa Rais wa Ujerumani Bi. Daniella Schadt na mama Sitti Mwinyi Mwinyi.Mkuu wa wilaya ya Temeke Sophia Mjema (kushoto) akiongea na baadhi ya wageni waalikwa akiwemo Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Diana Melrose (aliyesimama) wakati wa dhifa ya kitaifa ya chakula cha usiku iliyoandaliwa na Rais Jakaya Kikwete kwa Rais wa Ujerumani Mh. Joachim Gauck , Ikulu jana usiku.Rais wa Shirikisho la Ujerumani Mh. Joachim Gauck na Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania wakitazama Brass Bendi ya Jeshi la Polisi iliyokuwa ikitumbuiza wakati wa dhifa hiyo Ikulu jijini Dar es salaam
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Rais wa Ujerumani Mhe,Joachim Gauck wakipokea salamu ya heshma ya Gwaride la Jeshi la wananchi wa Tanzania JWTZ ikiwa ni mapokezi ya Rais huyo wa Ujerumani mara alipowasili katika Bandari ya Malindi Mjini Zanzibar leo akitokea Dar es Salaam akiwa katika ziara ya siku moja Nchini akifuatana ma Mkewe Daniela Schadt pamoja na viongozi mbali mbali wa Nchi hiyo.[Picha na Ikulu.]Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na mgeni wake Rais wa Ujerumani Mhe,Joachim Gauck mara alipowasili katika Bandari ya Malindi Mjini Zanzibar leo akitokea Dar es Salaam akiwa katika ziara ya siku moja Nchini akifuatana ma Mkewe Daniela Schadt pamoja na viongozi mbali mbali wa Nchi hiyo.[Picha na Ikulu.]Rais wa Ujerumani Mhe,Joachim Gauck akiwasili shada la mauwa na mtoto Salma Issa mara alipowasili katika Bandari ya Malindi Mjini Zanzibar leo akiwa katika ziara ya siku moja Nchini akifuatana ma Mkewe Daniela Schadt pamoja na viongozi mbali mbali wa Nchi hiyo.[Picha na Ikulu.]Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Mgeni wake Rais wa Ujerumani Mhe,Joachim Gauck (kushoto) mara baada ya mapokezi alipowasili katika Bandari ya Malindi Mjini Zanzibar leo akitokea Dar es Salaam akiwa katika ziara ya siku moja Nchini (kulia) Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi.[Picha na Ikulu.]Rais wa Ujerumani Mhe,Joachim Gauck akisalimiana na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi (katikati) mara alipowasili katika Bandari ya Malindi Mjini Zanzibar leo akitokea Dar es Salam akiwa katika ziara ya siku moja Nchini akifuatana ma Mkewe Daniela Schadt pamoja na viongozi mbali mbali wa Nchi hiyo (kulia) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein [Picha na Ikulu.]
.Rais wa Ujerumani Mhe,Joachim Gauck akikagua Gwaride la heshma la Jeshi la wananchi wa Tanzania JWTZ ikiwa ni mapokezi ya Rais huyo wa Ujerumani mara alipowasili katika Bandari ya Malindi Mjini Zanzibar leo akitokea Dar es Salaam akiwa katika ziara ya siku moja Nchini akifuatana ma Mkewe Daniela Schadt pamoja na viongozi mbali mbali wa Nchi hiyo.[Picha na Ikulu.]
.Rais wa Ujerumani Mhe,Joachim Gauck akikagua Gwaride la heshma la Jeshi la wananchi wa Tanzania JWTZ ikiwa ni mapokezi ya Rais huyo wa Ujerumani mara alipowasili katika Bandari ya Malindi Mjini Zanzibar leo akitokea Dar es Salaam akiwa katika ziara ya siku moja Nchini akifuatana ma Mkewe Daniela Schadt pamoja na viongozi mbali mbali wa Nchi hiyo.[Picha na Ikulu.]
No comments:
Post a Comment