Ni piccha za mkutano mkubwa wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya furahisha jana ambapo mwenyekiti wa chama cha democrasia CHADEMA na pia mwenyekiti mwenza wa umoja wa katiba UKAWA ndugu FREMAN MBOWE alikuwa akizungumza na wakazi wa mwanza katika mkutano huo.nimekuwekea picha zote za mkutano huo hapa mtu wangu |
Umati mkubwa wa watu uliojitokeza jana |
No comments:
Post a Comment