![]() |
| Hizi ni picha kutoka katika mkutano wa CHADEMA leo huko iringa viwanja vya MWEMBETOGWA Manispaa ya Iringa |
![]() |
| Hapa Mbunge wa Mbeya Mjini Mh.Joseph Mbilinyi au Sugu akizungumza na wakazi wa Iringa waliofika katika mkutano huo |
![]() |
Hawa ni wananchi wa Manispaa ya Iringa Mjini waliofika kwenye mkutano huo wa Chadema uliofanyika jana katika uwanja wa Mwembetogwa
|






No comments:
Post a Comment