Mshambuliaji wa Timu ya Taifa "Taifa Stars", Thomas Ulimwengu akitafuna namna za kuuchukua mpira uliomilikiwa na Mchezaji wa Timu ya Taifa ya Malawi wakati wa mtanange wao uliopigwa leo kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, jijini Mwanzawa. Mchezo huoulimalizika kwa kufungana bao 1 -1
Wachezaji wa Malawi wakipongezana baada ya kupata bao la mapema dakika ya tatu kupitia kwa Esau Kanyenda kwa kufanya 1-0.
Mbwana Ally Samatta akishangilia bao baada ya kuisawazishia bao Taifa Stars kwa kufanya 1-1 dakika ya 76 kipindi cha pili kwenye Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza leo hii,
No comments:
Post a Comment