Mkuu wa kitengo cha Masoko Mfuko wa Pensheni cha GEPF,
Aloyce Ntukamazina, akizungumzia unufaikaji
wa mafao ya mfuko huo [pindi unapojiunga nao wanajumuiya ya wanafunzi waliosoma
katika shule ya Ilboru waliokutana katika chakula cha jioni kuchangia ukarabati
wa majengo ya shule hiyo yaliyochakaa kupita kipimo. Hafla hiyo ilifanyika
mwishoni mwa wiki.
|
No comments:
Post a Comment