Thursday, April 9, 2015

PICHA ZA AJALI LEO TANGA TANZANIA ILIYOWAACHA WATANZANIA NA HUZUMI TENA


Basi la Ngorika likiwa halitamaniki baada ya kugongana uso kwa uso la basi lingine la Kampuni ya RATCO katika ajali iliyotokea mapema leo kwenye eneo la Kijiji cha Mbweni, Mkata mkoani Tanga. kwa mujibu wa Ripota wetu aliopo eneo la tukio,inadaiwa kwamba mpaka sasa ni Watu kumi wamepoteza maisha katika ajali hiyo, akiwepo Dereva wa Basi la Ratco.Chanzo cha ajali hiyo hakijafahamika mpaka sasa. Globu ya Jamii inafanya jitihada za kumpata Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga kwa maelezo zaidi.

 Hivi ndivyo lionekanavyo Basi la Ratco baada ya kupata ajali hiyo leo.





AJALI: Mabasi la Ngorika na RATCO yamegongana uso kwa uso eneo la Msata.  Inasemekana Mpaka sasa,  watu 10 wamepoteza maisha kwa habari kamili endelea kufuatilia ,mtandao huu.

No comments: