Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam
limeweka mikakati ya mpango kazi kama ifuatavyo:-
· Limepanga kushirikiana na vyombo mbalimbali vya
ulinzi na usalama ikiwa ni pamoja na Kikosi cha Zimamoto na uokoaji, Kampuni binafsi
za ulinzi, Vikosi vya uokoaji wakati wa majanga, na vikundi vya Ulinzi Shirikishi
ili kuhakikisha kuna udhibiti wa matukio ya uhalifu au fujo zinazoweza kujitokeza.
· Tumejipanga kwa ulinzi wa hali ya juu kwa kutumia
askari wetu wa doria za miguu, doria za magari, kikosi cha mbwa na Farasi,
kikosi cha wanamaji, Usalama barabarani, askari wa upelelezi, Helkopta ya Polisi,
n.k.
· Zitakuwepo doria za Magari, doria za pikipiki
na doria za miguu katika barabara zote muhimu.
· Wananchi wanashauriwa kusherehekea siku ya Pasaka
katika ngazi ya familia au kukusanyika katika mitaa kwa amani wakisherehekea pamoja na majirani, marafiki n.k.
· Kutokana na sababu
za kiusalama na matishio mbalimbali katika ukanda wa Afrika ya Mashariki, Jeshi
limejipanga kushughulikia viashiria vya matukio ya Kigaidi au ujambazi wa kutumia
silaha kubwa. Nimepiga marufuku disko toto
kufanyika katika kumbi mbalimbali jijini Dar es Salaam kutokana na kumbi hizo kutokidhi
viwango vya kiusalama, hivyo kukosasifa.
· Wananchi wanapoona dalili zozote au
maandalizi ya uvunjifu wa amani watoe taarifa mapema iwezekanavyo katika vituo vya
Polisi vya karibu au wapige simu namba111na112 ili hatua zichukuliwe kwa haraka.
· Madereva wanatakiwa kuzingatia sheria za usalamabarabaraniikiwanipamojanakutoendeshavyombovyamotokwamwendokasi,
wasiwewalevi, magari au pikipikizenyesauti
kali/zenyekuletamshtukonazonimarufuku.
· Aidha, Kikosi cha PolisiWanamaji (Marine
Police) kitafanyadoriakwenyefukwezaBaharinamaeneoyoteyaBaharijijini Dar es
Salaam. PatakuwepoHelkoptayaJeshi la Polisiikifanyadoriakuzungukajiji la Dar es
Salaam naaskariwaKikosi cha MbwanaFarasinaowatahusikanadoria.
· Polisiwatatoaulinzikatikafukwezabahari,
kwakuwekavituovyaPolisivyamudavinavyohamishika (Mobile Police Station)
ilikutoamsaadawaharakapindiunapohitajika.
Piaaskariwakutoshawatakuwepokuhakikishawananchiwanasherehekeakwaamani.
· Aidha,
kwaurahisiwamawasilianowananchiwasisitekutoataarifazauhalifukwanambamuhimuzasimuzifuatazo:
1.
RPC ILALA: MaryNzuki
– DCP 0715 009 980
2.
RPC TEMEKE: KihenyaKihenya
–ACP 0715 009 979
3.
RPC K’NDONI CamilliusWambura
– ACP 0715 009 976
No comments:
Post a Comment