“Najua kinacho endelea namuombea mtu mmoja aliyeko hapa nasema nakufahamu vizuri nakujua vizuri na kwambia utafanikiwa kwa jina la Yesu…..huta fanikiwa kwa jina la Yesu.Usifurahi leo kuniona nimekaa kwenye kiti hiki bado nina maumivu,bado sina nguvu lakini nimesema leo lazima niende nyumbani mwa Bwana.
Wewe ni mtoto mdogo ujatoka mbali….mimi nimewahi kua sitembei kwa miaka 6,huyu aliye nifanya nitembe hawezi kukubali nikae kwenye hiki kiti tena…unatakiwa ujue”Mwisho wa Nukuu
No comments:
Post a Comment