![](https://sundayshomari.files.wordpress.com/2012/04/sugunamistari.jpg)
(CHADEMA)
RATIBA
YA UCHUKUAJI FOMU, VIKAO VYA UCHUJAJI NA UTEUZI WA WAGOMBEA NDANI YA CHAMA
UCHAGUZI MKUU MWAKA 2015.
18/05
– 25/06/2015
|
Kuchukua
na kurejesha fomu za Udiwani Kata ambazo hatuna Madiwani.
|
Makatibu
Kata/Jimbo na Wilaya
|
01/7
– 10/7/2015
|
Kuchukua
na kurejesha fomu Kata ambazo tuna Madiwani.
|
Makatibu
Kata/Jimbo na Wilaya.
|
15/7
– 20/7/2015
|
Uteuzi
wa mwisho Wagombea Udiwani Kata pamoja na wale wa Viti maalum.
|
Kamati
Tendaji za Majimbo.
|
|
|
|
18/5
– 25/6/2015
|
Kuchukua
na kurejesha fomu za Ubunge Majimbo ambayo hatuna Wabunge kwa sasa, pamoja na
Fomu za Ubunge wa Viti Maalum.
|
Makatibu
wa Majimbo, Wilaya, Mikoa na Makao Makuu.
|
6/7
– 10/7/2015
|
Kuchukua
na kurejesha fomu za Ubunge Majimbo ambayo tuna Wabunge kwa sasa.
|
Makatibu
wa Majimbo na Wilaya.
|
20/7
– 25/7/2015
|
Uteuzi
wa awali wagombea Ubunge.
|
Kamati
Tendaji za Majimbo.
|
20/7
– 25/7/2015
|
Kuchukua
na kurejesha Fomu za Mgombea Urais.
|
Makao
Makuu
|
1/8
– 2/8/2015
|
Uteuzi
wa mwisho wa Wagombea Ubunge kufanyika.
|
Kamati
Kuu Taifa.
|
3/8/2015
|
Baraza
Kuu Taifa
|
Kamati
Kuu
|
4/8/2015
|
Mkutano
Mkuu Taifa
|
Baraza
Kuu
|
No comments:
Post a Comment