Wednesday, May 6, 2015

TIMU YA FASJET ILIVYOSAKATA SOKA MASHINDANO YA CLOUDS SPORTS EXTRA BONANZA-PICHA ZIKO HAPA



Wachezaji wa timu za Fastjet na Simbanet wakichuana katika mechi ya bonanza la clouds sports extra lililofanyika kwenye uwanja wa leaders siku ya mei mosi. Fastjet ilishinda kwa magoli 2-0.

Captain wa timu ya fastjet, Constantine Chacha akifunga goli kwa njia ya penati dhidi ya kipa wa timu ya NSSF kwenye mashindano ya clouds sports extra bonanza yalifanyika siku ya mei mosi kwenye viwanja vya leaders. NSSF walishinda kwa penati 5-4 na kuwafanya Fastjet kushika nafasi ya tatu kwenye bonanza hilo.

Mwalimu wa timu ya fastjet, Kocha Diego akiwapa maelekezo wachezaji wake.



Mchezaji wa timu ya fastjet, Kelvin Newa akifunga goli dhidi ya kipa wa timu ya Simbanet kwenye mashindano ya clouds sports extra bonanza yalifanyika siku ya mei mosi kwenye viwanja vya leaders. Fastjet walishinda jumla magoli 2-0

Mchezaji wa timu ya fastjet, Kelvin Newa akifunga goli kwa njia ya penati dhidi ya kipa wa timu ya NSSF kwenye mashindano ya clouds sports extra bonanza yalifanyika siku ya mei mosi kweny viwanja vya leaders. NSSF walishinda kwa penati 5-4 na kuwafanya Fastjet kushika nafasi ya tatu kwenye bonanza hilo.

Wachezaji wa timu ya fastjet wakifanya mazoezi yakujiandaa (warm up) kabla ya kuanza bonanza la clouds sports extra.

No comments: