Sunday, June 14, 2015

BREAKING NEWZZ---WANACHAMA CUF WAIVAMIA UBUNGO PLAZA.TIZAMA PICHA ZA AWALI MKUTANO WA LIPUMBA

Habari kubwa m,jini kwa asubuhi hii ni kuhusu mkutano mkubwa wa chama cha wananchi CUF unaoffanyika katika ukumbi wa ubungo plaza ambao ni maalum kwa kumkabidhi mwenyekiti lipumba FORM ya kugombea urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania ,
Sasa story hapa kwa sasa ni idadi ya wanachama waliojitokeza hapa ni wengi kiasi cha kuzidi ukubwa wa ukumbi wenyewe jambo ambalo linatia wasiwasi hapa kuhusu usalama wa maeneo haya.
Imekuwekea picha za wanachama na jinsi wavyozidi kumiminika hapa muda huu,bado lipumba hajafika,Taarifa zinasema mkutano huu utarushwa na ITV ifikapo saa sita mchana.

















No comments: