Sunday, June 14, 2015

WAZIRI MKUU, MIZENGO PINDA AHUDHURIA IBADA MJINI DODOMA-JUNI 14,2015

01
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu wakishiriki  katika ibada ya kwanza  ya Jumapili kwenye kanisa Katoliki la Paulo wa Msalaba  mjini Dodoma Juni 14, 2015.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0203
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu wakisalimiana na Askofu Mstaafu wa Jimbo la Dodoma, Mhashamu Mathias Isuja baada ya ibada ya kwanza katika kanisa la Paulo wa Msalaba mjini Dodoma Juni 14, 2015.

04
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akiwa katika picha ya pamoja na wanakwaya baada ya kuhudhuria ibada ya kwanza katika kanisa Katoliki la Paulo wa Msalaba mjini Dodoma Juni 14, 2015.
05
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akisalimiana na wanakwaya baada ya ibada ya kwanza katika kanisa la Mtakatifu Paulo wa  Msalaba mjini Dodoma Juni 14, 2015.
06
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa shule ya sekondari ya Huruma ya mjini Dodoma baada ya kushiriki katika ibada  ya kwanza kwenye kanisa Katoliki la Paulo wa Msalaba mjni Dodoma Juni 14, 2015

No comments: