KWELI AMEPANIA--TIZAMA PROFESA JAY ALICHOFANYA JANA
Msanii wa muziki wa kikazi kipya ambaye sasa amejichanganya kwenye siasa Profesa jay ameendelea na ziara zake za kukijenga chama chake cha CHADEMA,hapa ni Picha za mkutano wake mwingine jana,ameandika maneno haya kwenye mtandao wake baada ya kumaliza mkutano huu
Asante sana Mungu leo tumemaliza salama mkutano wa hadhara wa CHASO - MZUMBE kwenye Kijiji cha CHANGARAWE! !-Professor Jay for Mikumi
No comments:
Post a Comment