Sunday, June 7, 2015

WAZIRI NYALANDU ATANGAZA NIA NA KUCHUKUA FOMU, ASEMA UWEKEZAJI KWENYE RASILIMALI UMMA NI MUHIMU.

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akizungumza na wananchi mkoani Singida baada ya kutangaza nia ya kugombea nafasi ya urais kwenye Uwanja wa Namfua leo.

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu (kushoto) akiwa na mkewe Faraja kabla ya kuzungumza na wananchi mkoani Singida wakati wa kutangaza nia

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu (kushoto) akiwa na mkewe Faraja wakionyesha form ya urais mara baada ya kuchukua makao makuu ya chama hicho dodoma

No comments: