![]() |
Msanii mpya kwenye Game mwanadada Rapa Chemical, akipiga bonge ya shoo iliyowasisimua mashabiki walikuja kuona tamasha la Tigo viwanja vya zakhem Mbagala
|
![]() |
.Sehemu ya umati mkubwa uliojaa kwenye tamasha la Tigo la sikukuu ya Eid kwenye viwanja vya Zakhem Mbagala. |
![]() |
Msanii wa bongo fleva Amini, akitoa burudani kwenye Tamasha la Tigo la sikukuu ya Eid lililofanyika viwanja vya Zakhem Mbagala jana. |
![]() |
Wasanii wa kikundi cha sarakasi cha Wachina Weusi wakitoa burudani kwenye Tamasha la Tigo la sikukuu ya Eid lililofanyika viwanja vya Zakhem Mbagala jana |
![]() |
Msanii wa bongo fleva Belle 9, akitoa burudani kwenye Tamasha la Tigo la sikukuu ya Eid lililofanyika viwanja vya Zakhem Mbagala jana |
No comments:
Post a Comment