Jana katika viwanja vya jangwani katika ile uzinduzi wa Kampeni nilikutana na baadhi ya wasanii ambao walikuwa wanamsapot mgombea huyo,wamo wa music na wasanii wa kuigiza yani bongo movie,unaweza kutizama baadhi ya picha zao wakuwa kwenye shughuli ile. |
No comments:
Post a Comment