![]() |
Msanii Juma Nature A.k.a Kibla akiongoza wasanii wenzake kuwasalimia viongozi wa UKAWA leo Ijumaa 28/08/2015 ikiwa ni majumuisho ya ziara ya Mgombea Urais Mhe. Lowassa kwa jiji la Dar es salaam |

jali kabira, Udini wala Utaifa.

Mhe. Edward Lowassa akiwasili katika viwanja vya Msimbazi jijini Dar es salaam kwa ajili ya kuongea na wawakilishi wa vikundi mbalimbali kutoka Dar es salaam leo Ijumaa 28/08/2015

Mhe. Edward Lowassa akiwasili katika viwanja vya Msimbazi jijini Dar es salaam kwa ajili ya kuongea na wawakilishi wa vikundi mbalimbali kutoka Dar es salaam leo Ijumaa 28/08/2015

M/kiti wa CHADEMA Mhe. Mbowe akiwasil Msimbazi Centre kufanya mjumuisho wa ziara ya mgombea Urais Dar

Meza kuu kwenye mkutano

No comments:
Post a Comment