Kuna mengi sana umeona na kusikia katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni wa UKAWA leo jangwani,hili nadhani hukuliona,baadhi ya watu walizimia kutokana na wingi wa watu na kulazimisha watru wa huduma ya kwanza kuanza kufanya kazi ya kuwsaidia watu kiafya.Report nzima ya mkutano huo itakujia muda mchache kaa hapa hapa mdau |
No comments:
Post a Comment