Kwa jinsi mlivyojaa Wanabukoba katika uwanja wa Gymkhana kuanzia leo uwanja huu unaitwa uwanja wa #LOWASSA - John Mrema #Mabadiliko2015
BUKOBA#IPOTAYARI kwa mabadiliko katika viwanja vilivyopewa jina la@edwardlowassatz J/mosi 19/9/2015 #Mabadiliko2015
Kuwasumbua Watanzania wanaoishi mipakan juu ya uraia wao ni kosa,ni kukiuka haki na misingi ya raia @edwardlowassatz Misenyi #Mabadiliko2015
Ujumbe wa wananchi wa Misenyi Bukoba vijijini leo Jumamosi 19/9/2015#Mabadiliko2015
Ujumbe wa wananchi wa Misenyi Bukoba vijijini leo Jumamosi 19/9/2015#Mabadiliko2015
Babu na Bibi wa Misenyi Bukoba wakimsikiliza Kwa makini @edwardlowassatz Leo Jumamosi 19/92015 #Mabadiliko2015
BUKOBA
No comments:
Post a Comment