Sunday, September 6, 2015

Lowasa azidi kuvuruga Tanzania,Tizama hii ya nzega mjini leo


Kampeni Ukawa, 2015



Chopa ya Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, ikitua eneo la Uwanja wa Mkutano, huku wananchi wa Nzega wakiishangilia, leo Septemba 6, 2015.
Kampeni Ukawa, 2015

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, alieambatana na Mwenyekiti wake, Mh. Freeman Mbowe wakiwasili kwenye Uwanja wa Polisi Nzega, tayari kwa Mkutano wa Kampeni, leo Septemba 6, 2015.
Kampeni Ukawa, 2015
Baadhi ya wananchi wa Mji wa Nzega, Mkoani Tabora wakimshangilia Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa,wakati wa Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Polisi Nzega, leo Septemba 6, 2015
Kampeni Ukawa, 2015
Mgombea wa Ukawa alieteuliwa kuwania Ubunge wa Jimbo la Nzega Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Charles Mabula akizungumza na wananchi wake kabla ya kupigiwa kura ya wazi iliyompitisha kuwania nafasi hiyo na kumtupa nje Mwezake wa Chama cha CUF, Mezza Leonard (hayupo pichani), wakati wa Mkutano wa hadhara wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Polisi Nzega, leo Septemba 6, 2015.Kushoto ni Mwenyekiti wa CHADEMA, Mh. Freeman Mbowe
Kampeni Ukawa, 2015
Mgombea wa Ukawa alieteuliwa kuwania Ubunge wa Jimbo la Nzega Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Charles Mabula (kulia) akipeana mkono na aliekuwa Mgombea wa nafasi hiyo kwa Jimbo la Nzega mjini, Mezza Leonard (kati) akiekubali kushindwa baada ya kupigwa kura ya wazi na wananchi wa Nzega Mjini, leo leo Septemba 6, 2015.Kushoto ni Mwenyekiti wa CHADEMA, Mh. Freeman Mbowe.
Kampeni Ukawa, 2015
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi wa mji wa Nzega, wakati akinadi sera zake katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Polisi Nzega, leo Septemba 6, 2015.
Kampeni Ukawa, 2015
Umati wa wananchi wa Nzega, wakiwa wamekusanyika kwenye Uwanja wa Polisi, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa.
Kampeni Ukawa, 2015
Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Fredrick Sumaye akihutubia Mkutano wa hadhara wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Polisi Nzega, leo Septemba 6, 2015.
Kampeni Ukawa, 2015

Aliekuwa Mbunge wa Jimbo la Ole Zanzibar, Mh. Rajab Mbarouk akihutubia Mkutano wa hadhara wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Polisi Nzega, leo Septemba 6, 2015.
Kampeni Ukawa, 2015

PICHA ZOTE NA OTHMANI MICHUZI

No comments: