:- Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mbogo Futakamba (kushoto)
akibadilishana mikataba na Waziri wa Maji na Umwagiliaji wa Kenya, Eugene
Wamalwa, mara baada ya kusainiana Mkataba huo wa Maridhiano ya Mto Mara, wakati
wa sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Mara (Mara Day) zilizofanyika
Butiama mkoani Mara leo Sept 15, 2015. Kulia
ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanznia, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akishuhudia. Picha na OMR
|
No comments:
Post a Comment