Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Mashariki, Goodluck Charles (wa pili kulia) akimkabidhi zawadi ya simu, James Marwa ambaye aliibuka mshindi wa kwanza wa bahati nasibu iliyochezeshwa jana sambamba na uzinduzi wa intaneti yenye kasi zaidi ya 4G LTE jijini Tanga |
No comments:
Post a Comment