Rais John Magufuli akitia saini kitabu cha wageni wakati alipomtembelea Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa ofisini kwake jijini Dar es salaam Novemba 26, 2015 na kuzungumza nao kwa takribani saa moja (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Rais John Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa wakati alipomtembelea Ofisini kwake jijini Dar es salaam Novemba 26, 2015 na kuzungumza nae kwa takribani saa moja. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Rais John Magufuli akiagana na Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa wakati alipomtembelea Ofisini kwake jijini Dar es salaam Novemba 26, 2015 na kuzungumza nae kwa takribani saa moja. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment