Rais wa awamu ya tano Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue na Katibu Mkuu Ikulu Mhe Peter Ilomo na watumishi wa Ofisi ya Rais wakiagana na Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt Jakaya Mrisho kikwete. |
Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiagana na watumishi wa Ofisi ya Rais Ikulu wakati wakiondoka rasmi katika jumba hilo waliloishi akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa miaka 10 iliyopita na kurudi kijijini Msoga. kushoto kwake ni Rais wa awamu ya tano Dkt. John Pombe Joseph Magufuli |
Rais wa awamu ya tano Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimsindikiza Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete wakati wakiondoka rasmi Ikulu alimoishi kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa miaka 10 iliyopita. |
Rais wa awamu ya tano Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiagana na Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete wakati wakiondoka rasmi Ikulu walimoishi kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa miaka 10 iliyopita. |
No comments:
Post a Comment