WAJUMBE WA CHAMA CHA KUENDELEZA UFUGAJI NYUKI TANZANIA WATEMBELEA SHAMBA LA PINDA DODOMA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwaongoza baadhi ya wajumbe wa Chama cha Kuendeleza wafugaji Nyuki Tanzania (TABETO) kukagua shamba lake la Zuzu siku moja baada ya kuzindua chama hicho mjini Dodoma Oktoba 31, 2015.
No comments:
Post a Comment