Meneja wa Kinywaji cha HEINEKEN Nchini Tanzania Bwana MICHAEL MBUNGU akizungumza na wanahabari Jijini Dar es salaam katika viwanja vya Leader wakati wa tamasha kubwa na maarufu la NYAMA CHOMA FESTIVAL lililofanyika mwishoni mwa wiki hii ambapo HEINEKEN ni moja kati ya wadhamini wakuu wa tamasha hilo. Akizngumza na wanahabari siku hiyo meneja huyo alisema kuwa kinywaji cha Heineken Kimejipanga kuendelea kutoa udhamini katika maeneo mbalimbali nchini ikiwemo secta ya michezo na burudani ambapo alisema kuwa ni lengo lao kuendelea na udhamini wa mambo mbalimbali nchini |
No comments:
Post a Comment