Ni kijiwe kingine kabisa ambacho kinawakutanisha watu wa nguvu kwenye mikoa mbalimbali Tanzania, hapa inaliwa nyama choma, marafiki wanakutana na kuenjoy good music pembeni, michezo ya watoto, burudani ya live band na mengine mengi.
Hizi ni baadhi ya pichaz kutoka kwenye Nyamachoma Festival iliyofanyika December 5, 2015 viwanja vya Leader Club Dar es Salaam.
Picha kwa Hisani ya http://millardayo.com/.ENJOY
No comments:
Post a Comment