MBUNGE WA JIMBO LA TEMEKE MH.ABDALA MTOLEA AMEITAKA SERIKALI
KUSAIDIA KUONDOA KERO MBALIMBALI ZA KIJAMII ZINAZO WAKUMBA WANANCHI WA JIMBO
ILO, AMESEMA HAYO HII LEO JIJIN DAR ES SALAAM ,ALIPOFANYA ZIARA KTK
KATA YA AZIMIO KWA AJILI YAKUWASHUKURU WANANCHI KUMCHAGUA NA
KUSIKILIZA KERO ZAO IVYO ALIFANIKIWA KUTEMBEA MITAA YOTE YA AZIMIO
IKIWEMO,TAMBUKA RELI,MTONI-UNGUJA,MJI MPYA,UKU KERO KUBWA KWA WANANCHI
IKIWA,UKOSEFU WA MAJI AMBAPO UWAFANYA WANANCHI KUTEMBEA UMBALI MREFU KUTAFUTA
MAJI,PIA KATA KUWA NA KITUO CHA AFYA (KIMOJA) NA KUTOKUWA
VIFAA VYA KUTOSHA KAMA VITANDA IVYO KUFANYA WAGONJWA KULALA CHIN,
AIDHA MTOLEA AMEWATOA HOFU WANANCHI, NA KUSEMA ATAAKIKISHA ANAPIGANIA
BUNGENI MATATIZO HAYO YAPATE SULUHU KWA WAKATI HUSIKA,VILEVILE AKASEMA
KWAMBA LITAKUWA JAMBO LA FEDHEA KWAKE KAMA HATAFANYA WALICHO MTUMA WANCHI.
“NAELEWA KERO MBALIMBALI MLIZO NITUMA NANITAZIFANYIA KAZ KWA WAKATI KWAN
UKIZINGATIA SERIKALI YETU SASA SIKIVU” amesema MTOLEA.
,PIA AMEWATAKA WATU WOTE WALIONUNUA MAENEO YA WAZI NAKUJENGA
AMEWATAKA WAREJESHE KWA WANANCHI MARA MOJA KWAN WASIPO FANYA IVYO DAWA YAO IPO
JIKON
AKIZUNGUMZA DIWAN WAKATA YA AZIMIO MH.MATOGORO AMESEMA ANASIKITISHWA NA KITENDO
CHA WAUGUZI WA ZAHANATI YA TAMBUKARELI KUFANYA KAZI MWISHO SA NANE HUKU IDADI
YA WAGONJWA IKIWA KUBWA IVYO AMEWATAKA WAUGUZI HAO KUONGEZA MUDA WAKUFANYA KAZI
IWE ANGALAU MPAKA SAA KUMI NA MBILI JION, VILE VILE AMEWATAKA KUACHA KUFANYA
KAZ KWA MAZOEA KWANI SASA NI KAZ TU
AIDHA WANANCHI WAMEMSHUKURU MBUNGE WAO KWA UPENDO ALIOUONYESHA,
KUWATEMBELEA NAKUJUA KERO ZAO ZINAZO WAKABILI UKU WAKISEMA AWAJAWAI ATA SIKU
MOJA KUTEMBELEWA NA MBUNGE WAO ALIYEPITA IVYO WALIISHIA KUMSIKIA TU KWENYE
VYOMBO VYA HABARI,IVYO WAMEMTAKA MBUNGE AWASILISHE MATATIZO YAO
SEHEMU HUSIKA ILI YAPATIWE UFUMBUNZ
No comments:
Post a Comment