Tuesday, December 8, 2015

RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA MABALOZI WA MALAWI NA SWEDEN IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

bal1Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Balozi wa Malawi hapa nchini Mhe. Hawa Ndilowe  Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumanne Desemba 8, 2015
bal2Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwa katika mazungumzo  na Balozi wa Malawi hapa nchini Mhe. Hawa Ndilowe  Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumanne Desemba 8, 2015
bal3Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akimsindikiza  na Balozi wa Malawi hapa nchini Mhe. Hawa Ndilowe baada ya mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumanne Desemba 8, 2015
bal5Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akipokea barua za salamu toka na Balozi wa Sweden hapa nchini Mhe. Katarina Rangnitt alipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumanne Desemba 8, 2015.
PICHA NA IKULU

No comments: