Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,Sera Bunge, Vijna,Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama wakisalimiana na Bibi Vai Madelema na mwanae Josia Madelema (kushoto) wakati walipotembelea kijiji cha Chinangali wilayani Chamwino ambako walikwenda kukagua athali za njaa kwa wanakijiji Januari 20, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
-;[
No comments:
Post a Comment