Mchezaji Mbwana Samatta aliyeshinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Afrika kwa wachezaji wa Ndani akimkabidhi jezi yake anayoivaa akiwa katika timu yake ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Rais Mstaafu na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mh. Jakaya Kikwete kulia anayeshuhudia ni Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Nape Nnauye wakati walipokutana leo katika ofisi ndogo ya CCM Makao makuu Lumumba jijini Dar es salaam.(PICHA NA JOHN BUKUKU- FULLSHANGWE-DAR ES SALAAM)
Rais Mstaafu na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mh. Jakaya Kikwete na Mchezaji Mbwana Samatta aliyeshinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Afrika kwa wachezaji wa Ndani wakiwasili kwenye ukumbi wa mkutano katika Ofisi Ndogo ya CCM Lumumba jijini Dar es salaam.
Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Nape Nnauye akimkaribisha Rais Mstaafu na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mh. Jakaya Kikwete ili kuzingumza na kumpongeza mchezaji huyo katika mkutano huo kushoto ni Mchezaji Mbwana Samatta aliyeshinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Afrika kwa wachezaji wa Ndani.
Rais Mstaafu na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mh. Jakaya Kikwete akipozi kwa picha na Mchezaji Mbwana Samatta aliyeshinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Afrika kwa wachezaji wa Ndani kulia ni Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Nape Nnauye.
Rais Mstaafu na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mh. Jakaya Kikwete akimpongeza Mchezaji Mbwana Samatta aliyeshinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Afrika kulia ni Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Nape Nnauye
Mchezaji Mbwana Samatta aliyeshinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Afrika akimshukuru Rais Mstaafu na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mh. Jakaya Kikwete wakati walipokutana kwenyeMakao Makuu ya CCM ofisi ndogo Lumumba jijini Dar es salaam, kulia ni Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Nape Nnauye.
No comments:
Post a Comment