Mbunge wa Jimbo la ubungo ambaye ni mmiliki wa kapuni ya magazetui ya Hali halisi kwa Tiketi ya chama cha Democrasia na maendeleo chadema Mh SAID KUBENEA na mbunge wa jimbo la Nzega mjini HUSSEIN BASHE wakizungumza jambo kwa Hisia na Waziri mwenye dhamana ya habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh NAPE NNAUYE nje ya ukumbi wa bunge mjini Dodoma wakati wa vikao vya bunge vikiendelea. |
No comments:
Post a Comment