Mwandishi wa tamthilia ya NGOSWE PENZI KITOVU CHA UZEMBE Ndg.Edwin Semzaba amefariki dunia leoInteresting fact ambayo wengi hawajui ni kuwa Semzaba aliandika Tamthilia hiyo akiwa Shule ya sekondari kidato cha tatu. Akaihifadhi hadi baadae ilipokuja kuchezwa RTD na hatimaye kuwekwa ktk kitabu. Semzaba ni miongoni mwa waandishi wachache waliokua HAZINA ya Kiswahili nchini. Je leo ni wanafunzi wangapi wa Kidato cha tatu wanaoweza kuandika Tamthili nzuri kama ya Ngoswe?? Hakika tumepata pengo.. R.I.P Semzaba.!
No comments:
Post a Comment